Friday, May 29, 2026
spot_img

UTAMADUNI SHULENI MUHIMU SANA

Kwa sasa katika shule nyingi za serikali na binafsi nchini Tanzania,ni adimu sana kuona siku iliyotengwa kwaajili ya shughuli za kiutamaduni.Lakini kwa shule ya Score Pre-Primary School iliyopo mkoani Morogoro kila mwaka wana siku ya utamaduni ambapo shughuli mbali mbali hufanyika.

Baadhi ya shughuli hizo ni kama vile mavazi,ngoma na nyimbo ambazo zinasadifu utamaduni fulani wa ndani ya nchi na mataifa mengine barani Afrika na Duniani kwa ujumla.

Kwa njia ya Picha za mnato Trigen Media inakupitisha ili uweze kujionea muonekano wa wanafunzi wa shule ya Score Pre-Primary School siku ya utamaduni.

Picha zote kwa hisani ya shule ya Score Pre-Primary School.

Kidestudioss
Kidestudioss
Kidestudioss
Kidestudioss
Kidestudioss
Kidestudioss
Kidestudioss
Kidestudioss

Zinazihusiana

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Ungana Nasi Kupitia

0FansLike
0FollowersFollow
0SubscribersSubscribe
- Advertisement -spot_img

Za hivi karibuni