Home Habari za Kitaifa LUKUVI AMUAKILISHA RAIS SAMIA UWEKWAJI WAKFU MHASHAMU JOSEPHAT BUDUDU

LUKUVI AMUAKILISHA RAIS SAMIA UWEKWAJI WAKFU MHASHAMU JOSEPHAT BUDUDU

0

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) William Lukuvi amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ibada ya kuwekwa wakfu Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Tabora, Mhashamu Josephat Jackson Bududu. Ibada hiyo imefanyika leo Mei 25, 2025 katika Kanisa Kuu la Mt. Theresia, Tabora.

Trigen Media inakuletea matukio mbalimbali yaliyojiri katika hafla hiyo katika picha

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Exit mobile version